Vijana watafuta njia wamehudumu programu maalum ya kukamkaribisha mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki Kati ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika programu za utume ambazo zimeainisha mipango ya uinjilisti kwa mwaka 2016.
picha na East-Central Tanzania Conference
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Mchungaji Joseph Mgwabi akivalishwa skafu siku ya leo katika uzinduzi wa programu za utume kwa mtaa wa Kimara. |
picha na East-Central Tanzania Conference
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment