Friday, May 20, 2016

Barret Mapunda akiwa jukwaani kwa huduma ya uimbaji
Kama binadam katika ulimwengu wetu huu tumekuwa na kumbukumbu nyingi katika maisha yetu. Kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa imekuwa ni moja ya siku muhimu sana katika maisha yetu kwani kwa kiasi flani hurudisha pamoja hata watu walionyamaziana kwa muda mrefu angalau tu kwa kutakiana heri ya kuzaliwa.
Ijumaa hii muimbaji Nguri na Maarufu katika nyimbo za Injili anayeimba katika kundi la Vocapella la Temeke jijini Dar es Salaam, Barret Mapunda anakumbuka siku yake ya kuzaliwa. Na kwa hakika siku ya leo atakuwa amepokea simu na jumbe nyingi za watu wanaomtakia heri ya siku hii bora kwake.

Hapa tutakuonesha kidogo tu, ni kwakiasi gani watu wameguswa na siku hii hasa wale wanaomfahamu kwa kupitia huduma yake ya uimbaji...
Ujumbe maalumu kutoka kwa muuimbji mwenzake Samwel Mwazini
Ujumbe maalumu kutoka kwa muuimbji mwenzake Joseph Kweba
Kutoka kwa muimbaji Angel Magoti
Kutoka kwa MC Manyama
Kwa wale wasiofahamu leo keki itakuwa wapi na wana hamu ya kufahamu hilo kwa lengo la kushiriki, Huu ni mwaliko maalumu kutoka kwa mtoto wetu mpendwa...
TIMU NZIMA YA INJILILEO NA TUNAUNGANA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA KIJANA HUYU KUMTAKIA HERI YA SIKU YA KUZALIWA.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA