Monday, May 16, 2016

Mchungaji Ted Wilson. Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani.Mnamo Tarehe 13/05/2016 alifungua rasmi Mikutano ya Injili Zaidi ya 2300. Itakayo fanyika Nchini RWANDA.(RUANDA).
Mikutano hii imeanza Tarehe 13/05/2016 hadi Tarehe 28/05/2016.
Mahubiri haya ni ya Divisheni ya General Conference.Union yetu ya Kusini mwa TANZANIA inawakilishwa na watu 7 ambao ni Wachungaji.
1.Mch Mark Walwa Malekana
2.Mch Filbert Mwanga
3.Mch John Nyaibago
4.Mch David Mmbaga
5.Mch Michael Twakaniki.
6.Mch Meshark Jackson
7.Dominic Mapima

Tuzidi kuiombea sana Mikutano hii.






 Picha/Habari na http://mbeziluischurch.blogspot.com/
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA