Monday, May 23, 2016

Wadau wetu na familia mpya hii, siku ya jana walipata fursa ya kuwa wote kama familia mpya, na ibada ya ndoa ilifanyika katika kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenge kisha baadae jioni hafla ya kuwaaga ilifanyika ndani ya ukumbi wa Mirado Sinza.
Bwana afanye nyumba yenu kuwa mbingu ndogo








Picha zote na Family Music

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA