Tuesday, May 24, 2016

Aliyeshika fimbo ni Bibi Martha (89) ambaye alikuwa mmoja katik ya wabatizwa makumi elfu waliobatizwa katika mji wa Gisenyi nchini Rwanda.
 Mkutano wa injili ulioongozwa na Kiongozi wa Baraza Kuu la Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Mchungaji Ted Wilson, ubatizo ulifanyika mji wa Gisenyi siku ya Jumamosi Mei 21,2016 na watu takribani watu 30,000 walimpokea Bwana kwa njia ya ubatizo. 


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA