Wednesday, June 15, 2016

Mtaalam huyu ambaye pia amekuwa msaada kwa Kanisa kwa muda mrefu, kwa ubunifu wake wa kutengeneza programu tumishi za IBADA (Ni programu tumishi inayokuwezesha kusoma: Kesha la Asubuhi, Muongozo wa kujifunza Biblia) na nyingine ni NYIMBO ZA KRISTO ameweza kukata kiu ya watu wengi ambao pia walikuwa hawana namna ya kuipata ila kwa njia ya kigitali na sasa wanafurahia huduma ambayo imebuniwa na kijana wa Kitanzania ambaye pia ni mtumishi wa Unioni ya Kazikazini mwa Tanzania wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato akiwa kama Meneja mkuu wa IT Union hiyo, ameoa na anamtoto mmoja. Akiwa ndiye mwenyekiti wa mkutano wa Tain Dodoma 2016 alipata nafasi ya kuwashukuru waliofanikisha zoezi la utoaji tuzo na aliweza pia kushukuru familia yake, mke wake Teresia na mtoto wake Angel.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA