Monday, June 20, 2016

Huduma ya Miguuni ya pa Yesu inayokuja kusaidia jamii ya wapenzi wa injili kwenye vituo vya watoto  kwa kutafuta vipaji vya uimbaji.
Tukio la leo ni mfululizo wa matukio ya utafutaji wa vipaji hivyo kwenye kituo cha WATOTO WETU TANZANIA kilichopo Kimara Suka jijini Dar Es Salaam, ambapo kituo cha awali kilikuwa ni SOS CHILDREN cha Makumbusho cha Jijini Dar Es Salaam na walipatikana washindi 4 kati ya washiriki 37.
Leo wanatafutwa washindi 4 kati ya washiriki 20 na ambao baada ya kushinda watapelekwa kwenye kambi maalum kwa muda wiki 1 .






Picha na Miguuni PA YESU


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA