Friday, June 10, 2016



 Moja ya huduma zinazotolewa kwa wakazi wa Kilosa kwenye Mini Extravaganza inayoendelea hapa Kilosa ni Tiba na ushauri wa afya na kiroho. Pichani wagonjwa wakipokea huduma hiyo na wengine wakisubiri zamu yao ifike. Bibi huyu mwenye miaka 73 hakusita kuonesha furaha yake baada ya kutoka kwenye chumba cha matibabu. Tunatazamia kupokea madaktari wengine 22 siku ya Ijumaa wanaokuja kuongeza nguvu na shehena ya madawa. Tuiombee kazi hiyo ilete baraka kwa wakazi wa Kilosa.
Picha &Habari na Stephen Letta

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA