Tuesday, June 07, 2016

Mchungaji Steven Bina
Mchungaji Steven Bina, Mkurugenzi wa Mawasiliano Mstaafu - ECD Amefundisha Maadili 10 ya Mawasiliano kwa kanisani la waadventista wa Sabato. Amesema hayo hii leo katika mkutano wa TAiN Dodoma katika kipindi kilicho isha sasa hivi.
1. Hakikisha Kila unacho wasiliana kiwe kinamtukuza Mungu
2. Hakikisha Unatoa Ujumbe wa Upendo wa Matumaini wa Marejeo ya Yesu
3.Hakikisha unazingatia ethos (desturi) , beliefs(Imani) , na Values(mambo tunayo yadhamini)
4. Hakikisha uko tayari kushirikiana, kuunga Mkono vyombo vya habari, Ungamkono Ujumbe, heshimiana na wanahabari. Kwani huu ni wajibu wa Mwana Mawasiliano.
5 . Hakikisha una uhuru wa kuwasiliana kwa uadilifu, uwazi, ukiwa na kusudi, mwaminifu, makini, diversity and excellence.
6. Hakikisha unazingatia ukweli na Uaminifu.
7. Hakikisha nyumba zetu za Habari zielekeze juu ukweli unaotakiwa na kuhuisha wasikilizaji.
8. Kila mwana Mawasiliano ahakikishe anajiendeleza na kupanua uelewa wako.
9. Hakikisha Mawasiliano yako hayana mgongano wa masila na upendeleo wakirafiki na kindugu.
10. Hakikisha shuguri zote za Mawasiliano zinazingatia Utambulisho wa kanisa.





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA