Saturday, June 11, 2016

 Katika Sabato ya leo ndani ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Dodoma kati kumefanyika mjadala wa lesson na kumejadiliwa mambo mbalimbali yakiwemo kumuinua Kristo katika kipindi hiki cha siku za mwisho.Fungu la kukariri likitoka kitabu cha Mathayo 23:12 "Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa."



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA