Thursday, June 09, 2016

Mchungaji Steven Bina
Akifundisha katika mkutano wa wanahabari na mawasiliano (Tain) unaoendelea mjini Dodoma, Mchungaji Bina ambaye ni mmoja wa wakufunzi wa kwenye mkutano huu alipata kufafanua juu ya zahama kwenye tasnia ya uandishi wa habari.
Waandishi wa habari wanawajibu wa kutoa taarifa lazima kwa kuzingatia zahama ambazo pia zisipo zingatiwa zinaweza kuleta athari kwa wasikilizaji au watazamaji wa ujumbe/taarifa hiyo.

  ZAHAMA: Ni hali ambayo inaweza kuhatarisha maisha pamoja na mali za watu.
Alisema waandishi wa habari wanapaswa kuchukua hatua mara kwa mara ili kuepuka zahama pia kuwa na muitikio pale wanapopambana kwani zahama inahusika katika uendeshaji wa Kanisa.
.
KABLA YA ZAHAMA:
1. HISI ZAHAMA.
2. BAINI WASEMAJI WAKUU WA ZAHAMA.
3. KUWA NA MAFUNZO YA WANAHABARI NA USOMAJI. 
4. KUWEKA MIFUMO YA KUEPUKA ZAHAMA.
5. TASMINI HALI YA ZAHAMA.
Habari na http://mbeziluischurch.blogspot.com/ 
Picha na http://www.k15.photos/

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA