Sunday, June 19, 2016

Katika ukurasa wa Facebook wa kikundi cha waimbaji wa Acacia siku ya jana June 18,2016 majira ya jioni waliweka pachiko hili ambalo linasikitisha la kumpoteza shujaa na muimbaji mwenzao.
Bwana awape faraja wafiwa na injilileo Blog tunawapa pole Mungu awape faraja kwenye kipindi hiki kigumu.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA