Saturday, July 30, 2016

Mchungaji na mkurugenzi wa Uwakili toka Divisheni ya mashariki na Kati wa Afrika (ECD) Mch. William Bagambe alifundisha juu ya suala la kufanya na kusikia yote ambayo Mungu husema juu yetu. Huku akifafanua toka kwenye kisa cha biblia, alisimulia kisa cha kijana aliyekuwa tajiri ambaye alikosa tuu kujua ni nini afanye ili apate kuurithi uzima wa milele lakini kijana alipoambiwa suala la kuuza vyote na kuwapa masikini, alisikitika na hakupenda tena habari za ufalme huo.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA