Wednesday, July 06, 2016

Na Amos Daniel.
Kwaya ya vijana waadventista wa chuo cha SUA Morogoro imezindua santuri muonekano 3-7-2016 iendayo kwa jina la MWANGA UNAANGAZA katika ukumbi wa Freedom square katika chuo cha kilimo Sokoine Solomon Mahlangu Campus (SMC)
Uzinduzi huo ulisindikizwa na kwaya pamoja na vikundi mbalimbali kama vile
1.SUA S.D.A Choir
2.Mazimbu S.D.A Choir
3.CCT Choir
4.RC Don Bosco choir 
na nyingne nyingi.. Vikundi kama vile
1.Chorus tone
2Almost home
3.Devote race 
4.Heaven dwellers n.k
pamoja na waimbaji binafsi
1.Zakaria Mhemedzi (SUA)
2.Eliya (Mzumbe university)

Pia mgeni rasmi siku hiyo alikua Mchungaji Kibasisi akiongozana na Mchungaji Isack Nkya chaplain wa TUCASA moro zone.
Lengo la Uzinduzi huo ni kukusanya Mil 20 kwa ajili ya uinjilisti pamoja na kurekodi albam nyingine mwisho wa mwaka huu 2016.
 Picha &habari na Abgonlinetv

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA