Saturday, August 13, 2016

Na Cheri, Ubungo Hill Sda
Makambi ya mtaa wa Ubungo Hill yalianza 6 Agosti na yatahitimishwa leo Agosti 13, 2016 na yamefanyika katika viwanja vya kanisa la Ubungo Hill Sda.
Jana kulikuwa na furaha sana mbinguni kwani wapendwa 16 walijitoa kwa ubatizo na huduma hii ilifanywa na Mchungaji Christopher Ungani ambaye alikuwa mnenaji kwenye makambi ya Mtaa wa Ubungo Hill 2016








****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA