“Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; na neema
kuliko fedha na dhahabu.” (Mithali 22:1). Ni kwajinsi gani dhana inayo
oneshwa hapa inahusiana na jinsi tunavyo shuhudia na kuwafikia wengine?
Nini “maana ya mtaji wa kijamii” wakati unapo wekeza katika
akaunti ya benki thamani yake hukua. Mtaji wa kijamii hujumuisha
uhusiano chanya na wenye faida kama pesa katika benki. Wakati unapo
jenga maelewano mazuri na viongozi wa jamii, waulize ni nini yalio
mahitaji ya jamii, tafuta ushauri kwao kwamba nini kifanyike kutatua
matatizo hayo,Ikifuatiwa na utekelezaji wa mahitaji hayo,Kwa kufanya
hivyo utakuwa unajenga na kukuza uhusiano mzuri nao.Huu ni mtaji wa
kijamii, kila uzoefu chanya unao jenga pamoja nao ni kama uwekezaji
katika uhusiano wenu, Mtaji wako wa kijamii huendelea kukua na
kuongezeka thamani machoni pao.
Kanuni ya Kanisa hutukumbusha kwamba Waadventista
Wasabato,”tunapaswa kutambuliwa kama raia wema…na kufanya mambo yaliyo
mema”. “tunapaswa kuisaidia jamii kwa kutoa huduma zetu na vipato
vyetu,kwa kadri inavyowezekana na kwa kufuatana na Imani zetu, nguvu
zetu kwa ajili ya kudumisha utulivu wa kijamii na ustawi wake,” Huku
tukidumisha misimamo thabiti ya haki na kweli katika mambo ya kijamii,”-
Standard of Christian Living,” Uk.137,138.in the Seventh day Adventist Church Manual.( Hagerstown,Md.:Review and Herald Publishing Association,2010)
Katika nyongeza ya huduma ya Yesu duniani, maandiko hutupa
mifano mingine ya kile ambacho kinaweza kutokea ikiwa watu wa Mungu
watakuwa wamejipatia, “mtaji wa kijamii” Soma vifungu vifuatavyo vya
maneno na ueleze uhusiano chanya ambao wahusika hawa katika Biblia
walipata uzoefu wa kuwa pamoja na “watu wa nje” na ni nini kilichotokea
kama matokeo? Matendo 7:9,10, Wagalatia 41:38-45,Danieli 2:46; 6: 1-3.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment