Wednesday, August 03, 2016

Waumini wa Kanisa la Waadventista Mbingu mkoani Morogoro wamethibitisha ule usemi kuwa mtumishi wa Mungu ni lazima aishi penye hadhi kwa kufanikiwa kujenga nyumba kubwa kwa mchungaji wao. Mchungaji huyo (Gihoza) hapo awali alikuwa anaishi nyumba ya vyumba viwili na kusababisha usumbufu mkubwa. Waumini wa mahali pengine waige mfano huu wa Mbingu. Shukurani za dhati ziwaendee uongozi wa Konferensi ya Mashariki ya Kati (ETC) waliotoa bati za kuezekea.
 Habari/Picha na Stephen Letta
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA