Wednesday, August 03, 2016

Mchungaji Jonas Singo (kulia) alifanya huduma ya ubatizo mara baada ya mahubiri aliyoyaendesha yeye mweneyewe nchini Marekani yaliyofanyika yakihusisha watanzania wanaoishi nchini humo na katika huduma hii mtu mmoja alibatizwa na kumpokea Bwana kuwa mfalme wa maisha yake. Bwana ilinde roho hii AMEN.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA