Wednesday, September 14, 2016

Ni zamu ya Born to Praise waimbaji wainjilisti wakitokea jijini Dar Es Salaam katika kanisa wa Waadventista wa Sabato Tegeta, wamejitoa kuifanya kazi ya Mungu kwa kuitikia wito baada kutambua zawadi ya uhai waliopewa na Mungu. Leo mwenyekiti wa kikundi hicho Mr Naftal P. Nyambita anaongea nini maana ya jina na historia ya kikundi chao kwa ufupi na kumbe wito wao wa kuimba ni ulianza mwaka 2012?.
Baadhi ya waimbaji wa kikundi cha Born to Praise

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA