Friday, September 16, 2016

Kikundi cha waimbaji wa nyimbo za injili toka Born to Praise wamefanikiwa kutoa audio cd yao yenye nyimbo kumi, na baadhi ya nyimbo hizo ni;- Je umewahi kusikia, pepeto, nimeamua kurudi nyumbani kwa baba yangu na kafara ya Yesu. Kikundi hiki kipo kwenye maandalizi ya kufanya santuri
muonekano huku jiji la Mwanza pia litahusika kuwa sehemu ya video kufanyikia yaani (Location).
 Akiongelea suala zima la mazoezi, mwalimu na muimbaji wa kikundi cha Born to Praise alisema maneno haya "Kwani suala la mazoezi ndo kitu cha msingi kinachomfanya mtu aweze kufika kwenye viwango anavyohitaji" alisema Mwalimu Simon huku akivutiwa na juhudi za waimbaji wa kikundi cha Born to Praise kwenye mazoezi. 

Na huyu hapa Mwalimu Luca tumsikilize...
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA