Sunday, September 04, 2016

Septemba5 ni siku ya kutimiza mwaka mmoja wa huduma ya uimbaji wa kikundi cha The Healing Voice, na leo katika viwanja vya fukwe za Kijiji Kigamboni, zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali.
Akinyi Gomba
Betsheba muimbaji wa Kikundi cha Born to Praise
Rafikiel Kisaka muimbaji kikundi cha The Healing Voice



Lucas Simon kikundi cha Born to Praise

Waimbaji wa kikundi cha The Healing Voice kwa pamoja wakishika keki (imezingilwa)

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA