Thursday, September 08, 2016

David Maraga [Picha kwa hisani ya Divisheni ya Afrika Mashariki na kati- ECD]
 na Andrew McChesney, Mhariri za Gazeti la Waadventista wasabato
Hakimu alikataa kufanya kazi siku ya Sabato kama angeteuliwa kuwa jaji mkuu wa Kenya.
David Maraga aliiambia Tume ya Mahakama ambayo inawajibu wa kuchagua wagombea nafasi ya Jaji wa Mahakama kuu ambayo pia inawajibika kwa Rais kuwa itakuwa ni "vigumu sana" kusikiliza kesi siku ya Jumamosi. Alipohojiwa kwa nafasi hiyo, DAVID Maraga alisema itakuwa "NGUMU SANA" kusikiliza kesi siku ya Jumamosi.


Katika Mahakama ya rufani, David Maraga aliiambia Tume ya mahakama kwamba hataweza kuingia kwenye chumba cha mahakama siku ya Sabato hata katika ikitokea kuna mgogoro wa uchaguzi wa Rais.
"Kwa mujibu wa hakimu, suala la kufa na kupona ndio yanaweza kufanya akose kwenda kanisa siku ya Jumamosi - kwa mfano, ajali ikitokea katika njia yake kuelekea kanisa na hapo atasaidia majeruhi kwani hawezi kuacha kusaidia waathirika," Gazeti la Kenya's Standard liliandika kichwa cha habari kikubwa kurasa za mbele siku ya Alhamisi  makala, "Siwezi kuingiza maswala ya kazi kanisani, Alisema Hakimu Maraga."

Habari Kamili na siwezi kufanya kazi Jumamosi





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA