Tuesday, September 13, 2016

Katika shule ya msingi inayomilikiwa na Kanisa la waadventista wa sabato Kongowe, yalikuwa ni mahafali ya 10 ya darasa la 7, mgeni rasmi alikuwa ni Dr Edward Hosea.
Ilikuwa siku ya jumapili Septemba 11, 206 mwalimu Jeremiah Maluila (mc) alimtangaza Elizabeth Zablon Mdonya kama mwanafunzi bora kwenye masomo ya jamii, mwanafunzi bora kwenye masomo ya sayansi na mwanafunzi bora wa pekee wa kike.
Hongera binti Mungu akutangulie katika safari yako
Katikati ni Elizabeth Z. Mdonya akiwa na wazazi wake
Picha /habari na Tunu Z. Mdonya


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA