Monday, September 19, 2016

Katibu wa kikundi cha Born to Praise Bamboni P. Nyambita kasema mbali na kuwepo kwa matoleo mawili ya audio sasa umefika muda wa kukata kiu ya marafiki wao ambao ni wadau wa nyimbo za injili kwa kuwasogezea santuri muonekeno (DVD) . Kwa kuliona hilo kikundi kilikaa chini na kuamua sasa kuwa kazi hii ifanywe kwa ufanisi wa hali ya juu. Mbali na kushiriki uandaaji wa dvd pia watatembelea wodi ya wazazi na kutoa faraja kwa wagonjwa kwenye wodi hiyo.
.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA