Monday, September 05, 2016

Na mwandishi wako Kisaka mhina
vijana waadventista wasabato Kimanga jana pamoja na Mabalozi Temeke, Mabalozi Yombo,Vijana kutoka Mlimani,Family Music,Gethemani Pamoja na Heaven heritage waliweza kujihudhurisha mbele ya Mungu  kwa Mfungo na Maombi pamoja na vijana  walio alikwa kutoka sehemu mbali mbali nje na ndani ya mtaa wa Kimanga na Mwisho waliweza kuandaa futari ya pamoja.
Kwaya ya Vijana Mlimani wakiwa katika huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga 
Kwaya ya Mabalozi kutoka Yombo wakiwa katika huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga
Kikundi kutoka katika kanisa la wasabato Changombe wakiimba kwenye mfungo uliondaliwa na Idara ya Vijana Kimanga
Kwaya ya Mabalozi kutoka Temeke wakiwa katika huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga 
 Kikundi cha The Heroes kikitoa  huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga 

 Kikundi cha Family Music kikitoa  huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista  wasabato kimanga



0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA