Thursday, October 13, 2016

Siku ya jumamosi ya tarehe 15 Octoba,2016 itakuwa ni siku maalum ya kutoa sadaka ya ujenzi wa chuo cha udakitari kinacholikiwa na kanisa la Waadventista wa Sabato kwa upande wa divisheni ya Mashariki na kati mwa Tanzania kilichopo nchini Rwanda.
Akiongea katika Santuri muonekano ya tangazo la changizo hilo, Mwenyekiti wa jimbo la mashariki kati mwa Tanzania Mchungaji Joseph Mgwabi amesema kila muumini anahitajika kutoa kuanzia Tsh 5000 ili kuweza kufanikisha jambo hili.
" TOA SADAKA YAKO, SHIRIKI BARAKA ZA BWANA"

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA