Sunday, October 09, 2016

Mchungaji Sadick Lukinga Kutoka Jimbo la Kusini Mashariki mwa Tanzania akitoa somo la ujasiliamali kwenye semina ya siku tatu inayoendelea kanisani Kimanga mapema hivi leo
Kwaya kanisa la wasabato Kimanga ikihudumu kwenye semina ya siku tatu inayoendelea kanisani Kimanga mapema hivi leo

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA