Tuesday, December 27, 2016

Angel Magoti muimbaji wa injili akiimba solo au muimbaji binafsi, alipata nafasi ya kuongea na injilileoTV nae alikuwa na machache juu ya tamasha lililofanyika siku ya jana katika ukumbi wa Makumbusho Posta. Angel alitoa yake ya moyoni ya kutokutabiri tena, hatotabiri nini na kwanini? fanya kuangalia video hapa chini.
 

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA