Sunday, December 11, 2016

 TusaliPamojaApp ni App (PROGRAMU TUMISHI)  maalumu kwa ajili ya kuonesha direction /mahali kanisa lilipo kwa mtu asiyejua eneo kanisa lilipo. Mtu ni yule ambaye eidha ni mgeni kabisa eneo husika kiasi kwamba hata jina la kanisa halijui ama ni mgeni mwenyeji anayejua jina la kanisa ila hajui jinsi ya kufika kanisani hapo. Basi kupitia app hii ataweza kujua mahali kanisa lilipo. Jinsi ya kuipata App hii, ingia playstore kisha andika TusaliPamojaApp bila kuacha space ,App itakuja utaidownload na kuinstall kwa simu yako au kifaa chako cha Android. Au utaweza kudownload kwa kutumia link hii hapa chini https://play.google.com/store/apps/details?id=com.pacoster.tusalipamojaapp
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA