Wednesday, December 28, 2016

Siku ya tamasha la aina yake lililofanyika ndani ya ukumbi makumbusho jiji Dar Es Salaam Disemba 26, 2016, muimbaji mahiri wa sauti ya tatu Barret Mapunda aliwashangaza wengi kwani aliimba sehemu 3 kwa siku hiyo. Barret aliimba ndani ya kikundi cha The Voice na tena ndani ya kikundi chake cha Vocapella na sehemu nyingine aliimba kama muimbaji binafsi. Mungu ambariki na talanta hii ikavute wengi kwa Bwana.








****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA