Thursday, January 05, 2017

Dr. Pr. Godwin Lekundayo Mwenyekiti wa Unioni ya Kasikazini mwa Tanzania Asisitiza juu ya Umuhimu wa Total Member Involvement katika Taasisi za Elimu za kanisa la waadventista wa Sabato Tanzania.
Mwenyekiti huyu Ameyasema hayo leo Asubuhi Huko singida wakati akifungua Tanzania Education Advisory iliyo kutanishaWakurugenzi wa Elimu, Wakuu wa Vyuo na Shule wakiambatana na Wahazini na Wachungaji wa Taasisi hizo kutoka katika Union zote Za Tanzania.
Mgeni Rasmi : DR. Mike Lekic - The GC Associate Education Director 

Mgeni Mweza: DR. Andrew Mutero - ECD Education Director

Maafisa wote wa Union ya Kasikazini na Kusini japo hadi sasa walio fika ni Maafisa wote wa Unioni ya Kasikazini mwa Tanzania.
 

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA