Friday, February 10, 2017

 Timu ya wafanyakazi wa kituo cha Morning star TV na REDIO viko tayari katika maandalizi ya mkutano huu na wadau wengine pia wamekuwa katika kanisa la Mabatini SDA- Mwanza kusaidia pale panapohitajika.
Ikumbukwe mkutano huu utafanyika moja kwa moja toka kanisa la Mabatini SDA- Mwanza na kuonekana nchi nzima katika Televisheni ya Morning star na kusikika pia katika Redio ya Morning star.
Mkutano huu unaletwa kwako kwa ushirikiano wa Mabatini SDA na Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali waadventista wa Sabato.
Unaanza kesho Jumamosi February 11- March 4, 2017 kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 3:00 USIKU.
                                                      NYOTE MNAKARIBISHWA            


 Picha zote na Conges Mramba
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA