Wednesday, February 22, 2017

 Kitabu kilichosubiriwa kwa muda mrefu sana na sasa kipo dukani na kwa sasa kinapatikana kwenye duka la Bulengela Media liliko jijini Dar Es salaam Magomeni mwembechai karibu na Kanisa la Magomeni sda. Kitabu cha 'SIRI ZA MAOMBI YANAYOJIBIWA" kina mada kuu kama vile Namna ya kuomba, Aina za maombi na Kwanini maombi hayajibiwi?
Fuatana na muandishi wako Mchungaji David Mmbaga upate kubarikiwa nawe hutabaki kama ulivyo. PIGA SASA NAMBA 07588 820 060

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA