![]() |
Kwaya ya Buswelu sda katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana. |
![]() |
Mchungaji Semba mmoja wa wanenaji katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana. |
![]() |
Katibu mkuu wa NTUC Mchungaji Makoye aliposimama na kusema jambo katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana. |
![]() |
Mchungaji Mmbaga mmoja wa wanenaji katika mahubiri ya USHINDI HATIMAYE katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana. |
![]() |
Timu ya wachungaji k na maafisa wa kanisa la waadventista wa Sabato katika picha ya pamoja katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment