Monday, February 20, 2017




CHANGAMOTO ZINAZOKIKABILI KIKUNDI:
   Changamoto kubwa ni ratiba zetu ambazo zinapishana kwa kuwa tunasoma vyuo tofauti, wawili Muhimbili, wawili Kampala Dar Campus na mmoja KCMC Moshi hii inatupa ugumu kukutana kwa ajili ya mazoezi na kujadili mipango ya kikundi,
Hii pia inatupa changamoto kushiriki mialiko mbali mbali, makanisani, kwenye makongamano na federations (mikusanyiko ya TUCASA)
Mfuko wa kikundi bado ni changamoto kubwa pia maana bado haujaweza kuendesha shughuli za kikundi.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA