Viongozi wa kanisa la waadventista wasabato Jimbo kuu la kaskazini
Mwatanzania pamoja na wafanyakazi wa ofisi hizo na wageni mbalimbali
waliotembelea ofisi hizo na kupiga picha ya pamoja katika Mkutano wa
wafanyakazi ulionza jumatatu tarehe 20na unategemewa kuisha tarehe
24/4/2015 |
0 comments:
Post a Comment