Kambi la shc la vijana wakubwa laanza iganzo jijini mbeya tarehe 19-25/04/2015 mhutubu mkuu: pr. richard khaniki-katibu mkuu shc neno kuu: wokovu na utumishiungu kuu: luka 22:32 wimbo mkuu: no. 56 kusudi: kuwaongoza vijana kuokolewa ili nao watumike kuwaokoa wengine.wakufunzi wengine ni:
1. pr. d. bambaganya- mkurugenzi wa vijana
2. pr. mwasomola- mkurugenzi wa uwakili
3. pr. e. chaboma- mkurugenzi wa uchapishaji
4. pr. haruni kikiwa-mkurugenzi wa mawasiliano na afya
5. master guides wote kutoka shc
kambi limefunguliwa na pr. rabson nkoko mwenyekiti-shc tarehe 19-25/04/2015
0 comments:
Post a Comment