Mwenyekiti wa STU, PR MWAKALONGE akitembelea na kutoa mashauri kwa
washiriki wa kanisa la igundu mtaa wa chunya wanaojenga shule ya
chekechea ambayo hatimaye itakuwa sekondari. Hii imefanyika katika
ziara yake ya kichungaji aliyoifanya katika coference hii ya SHC |
0 comments:
Post a Comment