Chaplain
Yusuph Ibrahim Juma
2011
AFYA NA ULINGANIFU
MKAZO KATIKA VYAKULA SAFI , VINYWAJI SALAMA NA ELIMU YA
VILAJI NA VINYWAJI VYENYE SUMU
UTANGULIZI
When the principles of healthful living are practiced, the need for stimulants will not be felt. The use of intoxicants and Narcotics of any kind is Forbidden by nature’s law . From the Early days of this movement abstinence from the use of liquor and tobacco has been a condition of membership in the seventh-day Adventist church[1]. SEVENTH-DAY ADVENTST CHURCH MANUAL, REVISED 2005, 17THEDITION PG 175.
Somo hili linajikita tu juu ya vyakula safi Walawi 11:1-47 vinywaji safi na halali Habakuki 2:15 , na vilaji safi halali na sahihi 1 Wakorintho 10:31.
KANUNI KUU 5 KATIKA SOMO LA AFYA NA ULINGANIFU
- Daniel 1: 8 –9 Kuazimu Moyoni ( Kuamua moyoni )
- 1 Kor 10: 31 - Fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu
- Kolosai 2:21 – Msishike, Msionje, Msiguse
- Mwanzo 39:9 - Nifayeje ubaya huu Mkubwa nimkose Mungu?
- 1Wakor 6:19 –20 Miili ni Hekalu la Roho Mtakatifu
MAKUSUDI MAKUU 3 KATIKA SOMO LA AFYA NA ULINGANIFU
- Kuwajengea vijana wa kanisa nguvu ya uchaguzi kumb 30:15, Yosh 24:15.
- Kuwafundisha vijana msingi wa 8 kati ya msingi 28 ya mafundisho makuu usemao “ PAMBANO KUU” – Mwanzo 2:9 ( Mwanadam ni Nafsi huru).
- Kuwafundisha vijana chakula na vinywaji sahihi katika maisha yao ili kukuza mifereji ya ukuaji wa kiroho “ Kile ulacho ndicho kinakufanya uwe”. [We are what we eat]
MASHAURI MUHIMU YA ROHO YA UNABII KWA KIFUPI JUU YA
AFYA NA ULINGANIFU
- Testimonies Vol 4. p 408 Eat the right foods in the right amounts “ Many of our ministers are digging their graves with their teeth
2. Counsels on Diet and Foods pp 55-56
God cannot let his Holy Spirit rests upon those who , while they
know how they should eat for health Persist in a course that will
enfeeble mind and Body.
0 comments:
Post a Comment