source:mtangazaji.blogspot.com
Friends of Jesus Choir (FoJ) ya Rwanda inataraji kufanya tamasha la uzinduzi wa toleo lao namba saba walilolipa jina "SHEPHERD OF MY SOUL". likiwa na nyimbo 5 za kinyarwanda , 6za kiingereza na mmoja wa kiswahili.
Waimbaji wengine watakaokuwepo ni kwenye uzinduzi huo utaofanyika kwenye Hoteli ya Serena,Kigali Rwanda Mei 18,2013 ni The Voice toka Dar es salaam, Tanzania,Shower Power toka Zimbabawe na Trevor toka Marekani ambaye ni Profesa wa Muziki wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki na Kati cha Kanisa la Waadventista Wasabato kilichopo nchini Kenya

NI VIDEO YA SHOWER POWER TOKA ZIMBABWE PIA WATAKUWA KIGALI KWENYE TAMASHA HILI MEI 18,2013
0 comments:
Post a Comment