Hawa nia waimbaji wa injili hapa Tanzania,wakiwa na nguvu na umahili katika kazi hii ya uimbaji kwani huwahamasisha vijana wengine kuacha kubweteka na kujihusisha na makundi yasiyofaa na kutakiwa kumrudia MUNGU....
Katika video hizi,THE VOICE wanaimba wimbo ambao siku zilizopita injilileoBLOG ilitangaza TAMASHA la uzinduzi wa albamu ya video inayobeba wimbo huo na ANGEL akiimba wimbo wake wa kisa cha LAZAROTuesday, May 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mwende mbali vijana
ReplyDelete