Tuesday, May 14, 2013

 Hawa nia waimbaji wa injili hapa Tanzania,wakiwa na nguvu na umahili katika kazi hii ya uimbaji kwani huwahamasisha vijana wengine kuacha kubweteka na kujihusisha na makundi yasiyofaa na kutakiwa kumrudia MUNGU....
Katika video hizi,THE VOICE wanaimba wimbo ambao siku zilizopita injilileoBLOG ilitangaza TAMASHA la uzinduzi wa albamu ya video inayobeba wimbo huo na ANGEL akiimba wimbo wake wa kisa cha LAZARO




Categories:

1 comment:

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA