Friday, June 21, 2013



Wakati dunia ikielekea kufunga historia yake,manabii na watumishi wa MUNGU walipewa jumbe mbalimbali juu ya vile tunavyotakiwa kula na ikidhitika kwa kuangalia nyakati hizi watu hufariki kwa kupata milo isiyo sahihi kama hivi vyakua huiita artificial(visivyo asili)...
Kwa kutumia vyakula hivi ambavyo sio vya asili,huitwa hivi kwasababu hupitia na kuchanganywa kikemikali na baadhi ya madawa hii eti kwa ajili ya uifadhi wake hasa vikae kwa muda mrefu  lakini jamii hususani KINAMAMA na WATOTO huathirika sana na vyakula hivi kwa kupata magonjwa ya ajabu na wakienda hoptalini pia napo hupewa tena madawa ambayo ni sumu ndani ya miilil yao
 Fatilia miongozo ya magonjwa haya hapa toka kwa DR.HESPERANCE wa tiba kwa kutumia nafaka toka kituo cha BELI FOUNDATION...
PICHANI NI OFISI YA BELI FOUNDATION ILIYOPO MIKOCENI  BALABALA YA GARDENI DAR ES  SALAAM
MUDA WA KAZI NI JUMATATU -IJUMAA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI
 Beli Fondation
Ugonjwa wa Kiarusi-Part 1
Ugonjwa wa Kiarusi-Part 2
Ugonjwa wa Kisukari-Part 1
Ugonjwa wa Kisukari-Part 2
Nafaka nzima-Part 1
Nafaka nzima-Part 2
Ugonjwa wa Shinikizo la damu-Part 1
Ugonjwa wa Shinikizo la damu-part 2
Beli Foundation profile-Part 1
Beli Foundation profile-Part 2
Ugonjwa wa Kisukari wakati wa ujauzito-Part 1
Ugonjwa wa Kisukari wakati wa ujauzito-Part 2

           SOURCE:http://belifoundation.com


Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA