Monday, July 01, 2013

Ni moja ya huduma ambazo hufanywa na vijana wanaompenda YESU,ni wanafunzi walio vyuoni hapa jijini Dar Es Salaam,ni sabato nzuri na tulivu ambapo wanachama hawa wakiwa na viongozi wao toka matawi mbalimbali kama;MUHAS,IFM,DIT,CBE,UDSM,DUSE NA WENYEJI KAM walihudumu ibada na matukio mengine kama kuimba nyimbo na makadhiano kwa viongozi wapya na wale waliomaliza mda wao..

Harmony BROTHERS toka UDSM walikuwa mbaraka mkubwa mahala hapa kwa nyimbo zao mbalimbali na kwaya toka IFM nao walihudumu kwa njia ya nyimbo...

        PICHA KWA HISANI YA THE GOSPEL TODAY BLOG



Sauti ya pili na ya TATU ya waimbaji wa TUCASA-IFM


HARMONY BROTHERS toka UDSM wakiwa katika huduma ya uimbaji


DADA HOLO akiwa na waimbaji wa HARMONY BROTHERS mara baada ya vipindi na program kwa siku hii..


wanachuo wa IFM wakihudumu kwa njia ya nyimbo katika FEDERATION hii


washiriki wakifatilia program zinazoendelea



 

Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA