Ni sabato ya vijana katika kanisa la waadventista wasabato KIMARA,siku hii vijana hawa walihudumu kuanzia bada za asubuhi kwa wahudumu kama ifuatavyo;MWENYEKITI-MOKIWA DOMINICK
MHUBIRI-YUSUPH AZIZ
SOMO LA SADAKA-COLETHA JAPHET
FUNGU KUU NA OMBI-BONIPHACE MAFURU
Baada ya ibada,vijana waliongoza huduma ya chakula kwa washiriki na wageni waliohudhuria katika vipindi hivi vya leo na kisha programs za mchana zikaanza kwa vijana kuingia kwa gwaride na kufatiwa na programs za nishani n.k
PICHANI NI WAHUDUMU WA SIKU HII KATIKA HUDUMA KUU:KUSHOTO DOMINICK MOKIWA(M/KITI) ANAYEFUATA YUSUPH AZIZ(MUHUBIRI),BONIFACE MAFURU(FUNGU KUU NA OMBI NA MWISHO COLETHA JAPHET(FUNGU LA SADAKA |
WANAKWAYA YA KIMARA-SAUTI YA TATU NA YA KWANZA |
WASHIRIKI WA KANISA WAKIWA KATIKA PICHA |
WASHIRIKI WA KANISA LA KIMARA WAKIFATILIA HUDUMA TOKA KWA VIJANA |
KWAYA YA KANISA IKIWA KATIKA HUDUMA YA UIMBAJI SIKU HII YA VIJANA.WAKIIMBA WIMBO 'KRISTO ANATUWEKA HURU' |
VIJANA WAKIFANYA ZOEZI LA KUTAJA AHADI NA SHERIA |
VIJANA WA KIMARA SDA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
MGUU SAWA NA MGUU PANDE:NI KATIKA GWARIDE |
AREA-COORDINATOR WA VIJANA MR.ELIA KISIKA AKIWAAMRSHA VIJANA SIKU HII |
GREYSON KAZUVA AKIONESHA NA KUELEZA JUU YA HIKING NA MIFANO KWA NJIA YA PICHA |
KATIBU WA VIJANA:PAULINE GASPER akisoma taarifa ya kile kilichotokea huko ARUSHA katika KAMBI LA VIJANA JUNE 16-22,2013 |
MCHUNGAJI WA MTAA WA KIMARA,RAHISI MANDE AKITOA MACHACHE JUU YA UMUHIMU WA HUDUMA YA VIJANA NDANI YA KANISA |



0 comments:
Post a Comment