Saturday, July 20, 2013

Mtaa wa kurasini unaundwa na makanisa 3,yaani KIJICHI,KURASINI na MTONI na makambi haya ya mwaka huu yamefanyika katika viwanja vya chuo cha TIA hapa jijini DAR ES SALAAM..
MOTO WA KAMBI:"NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU FILIPI 4:13"
WIMBO MKUU:NI WIMBO NAMBA 107 KATIKA KITABU CHA KRISTO USEMAO "SAUTI NI YAKE BWANA"
Leo ni siku ya mwisho wa makambi ya mtaa huu ambayo yalianza jumapili ilyopita ambapo kulikuwa pia na uzinduzi wa kwaya ya MSHIKAMANO TOKA MEATU-SIMIYU,kwaya hii pia ilhudumu katika makambi haya kwa muda huu wa siku saba,na leo watakuwa wanaaga na kurudi  kwao.....

WANAKWAYA YA MSHIKAMANO WAKIIMBA


MWALIMU WA KWAYA YA MSHIKAMANO MR.MAKACHARO AKIIMBISHA WAKATI KWAYA HII IKIIMBA WAKATI WA KIPINDI CHA UIMBAJI


WANAKWAYA YA KURASINI WAKIWA WANAFATILIA KIPINDI CHA UIMBAJI


WASHIRIKI WAKIFATILIA KILE KINACHOJILI


WASHIRIKI WA MTAA WA KURASINI NA WENGINE TOKA MAKANISA MBALIMBALI WAKIWA MAKINI KATIKA KIPINDI CHA UIMBAJI.....



WANA KWAYA YA MSHIKAMANO NA KWAYA YA KURASINI WAKIIMBA


WAIMBAJI WA MSHIKAMANO NA KURASINI WAKIIMBA KATIKA KIPINDI CHA UIMBAJI


BAADA YA KUIMBA,WAIMBAJI WANARUDI KWA  MATCHING.....



Categories: , ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA