Sunday, July 28, 2013

Waimbaji wa Acacia Singers leo wazindua album yao mpya kabisa iitwayo "MSIKOSE" katika uzinduzi huu waalikwa toka sehemu mbalimbali walikuja mahala hapa katika ukumbi wa CITY CHRISTIAN CENTER-UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM....
Mbali na waalikwa,vikundi mbalimbali kama FAMILY SINGERS,TRIUPH GENERATION,REMNANT GENERATION,ANTIOCH VOICE na GOLDEN-GATE waliimba na kuhudumu programs kuhusu uzinduzi huu....
Ma MC wa siku hii ni MTANGAZAJI WA MORNING STAR-MADUHU EMMANUEL na MWALIMU WA KWAYA YA KURASINI-BW.SAMSONI KIBASO...

Baada ya waimbaji kuimba, mwenyekiti wa kikundi cha Acacia Singers aliezea historia fupi ambapo waimbaji hao walianza huduma hiyo mnamo mwaka 2004 wakiwa na idadi ya waimbaji saba (7) pia alielezea kati ya malengo ya kikundi cha Acacia Singers kama upatikanaji waVYOMBO VYA MUZIKI pamoja na GENERATOR ili kukabiriana na changamoto ya nishati ya umeme katika maeneo ambayo nishati hiyo haipatikani na CHOMBO CHA USAFIRI kwa waimbaji kutoka sehemu moja hadi nyingine na makadirio ya gharama zote ni shilingi MILIONI 52.2 pesa tasilim za kitanzania

ANTIOCH VOICE kutoka MWANZA




REMNANT GENERATION kutoka MWENGE S.D.A





TRIUPH GERATION wakiimba 





MGENI RASMI akiwa na timu yake


Waimbaji wa ACACIA SINGERS wakiingia ukumbini kwa matching

 

GOLDEN GATE kutoka UGANDA




Wenyeji wa uzinduzi huu ACACIA SINGERS







washiriki wakifuatilia kinachojili

ACACIA SINGERS na GOLDEN GATE wakiimba wimbo wa pamoja



Mwenyekiti wa kikundi cha ACACIA SINGERS MR. LAVEN MASIKE akisoma RISALA 


DR. ISAACK NDONDI, akitoa somo kuu.


DR. ISAACK NDONDI akizindua DVD ya MSIKOSE 



Mwimbaji wa ACACIA SINGERS MS. NAOMY AKIINUA DVD ya MSIKOSE baada ya uzinduzi


PROF. BISANDA akishiriki katika uzinduzi huo




Kikosi cha JML PRODOCTION, na ndiyo walioshiriki kufanikisha uzarishaji wa DVD hii




Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA