Ilikua ni jumapili ya tarehe 11/08/2013 asubuhi njema ambapo waimbaji wa FAMILY MUSIC kutoka Mzizma SDA church walisafir hadi mkoan morogoro katika uzinduzi wa album ya TUMEKUJA HEKALUNI..
Katika uzinduzi huu vikundi mbali mbali vilihudhuri kama kikundi cha FAMILY SINGER'S kutoka Buguruni sda church,Kundi la JERUSALEM PIPERS,kwaya ya MAJENGO na nyingine nyingi walitoa huduma kwa njia ya uimbaji siku hiyo..
NEEMA KACHOPE ambaye anafahamika kwa wimbo wake "BABA TUOKOE" jumapili ya tarehe 11/08/2013 alifanya uzinduzi katika kanisa la WAADVENTISTA WASABATO KIHONDA mkoani Morogoro wa album yake mpya ya NIMEKUJA HEKALUNI
| NEEMA KACHOPE |



0 comments:
Post a Comment