Tuesday, August 06, 2013

Mtaa wa KINONDONI unaundwa na makanisa kama vile MWANANYAMALA,MIKOCHENI,USHINDI NA KINONDONI pia na KUNDI LA MSASANI ambapo kwaya toka makanisa hayo watakuwa katika huduma ya uimbaji na programs mbalimbali siku hizi saba za makambi...
Katika kambi hili wageni maalum kama; MCHUNGAJI MARK MALEKANA,MCHUNGAJI NYAIBAGO NA MCHUNGAJI MLWAMBO watakuwa katika mafundisho maalum,mahubiri na mafundisho ya watu wazima katika siku hizi saba tangu leo jumapili ya tarehe 04 AGOSTI MPAKA AGOSTI 09,2013

KWAYA YA BIGWA TOKA MOROGORO WAKIHUDUMU SIKU HII MARA BAADA YA KUTOKA SAFARI......



KWAYA YA KANISA LA USHINDI WAKIIMBA

KWAYA YA VIJANA KINONDONI WAKIIMBA KATIKA KIPINDI CHA UIMBAJI



SAUTI YA KWANZA YA WANAKWAYA YA VIJANA KINONDONI


WANAKWAYA YA MWANANYAMALA WAKIFATILIA KIPINDI CHA UIMBAJI



KWAYA YA MIKOCHENI WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI


WASHIRIKI WAKIFATILIA YANAYOJILI


BAADA YA KIPINDI CHA UIMBAJI,VIJANA WATAFTANJIA(PATH-FINDER) WALIINGIA KWA GWARIDE NA KUONYESHA BAADHI YA PROGRAMS....



WAGENI RASMI WALIVISHWA SKAFU NA VIJANA HAWA WADOGO


VIJANA WAKIWA MBELE YA WAGENI WAALIKWA 


VIJANA WAKIWAVISHA SKAFU WAGENI WALIKWA



WAGENI MAALUM NA VIONGOZI WA KANISA WAKIANZAKAGUA GWARIDE LA VIJANA WA PF


KIONGOZI WA PF AKIWAKARIBISHA MGENI MAALUM NA JOPO LA VIONGOZI WA KANISA KUANZA ZOEZI LA KUKAGUA GWARIDE LA PF...


MCHUNGAJI MKOKO ALIYE VAA SUTI NA NYUMA YAKE NI MZEE WA KANISA PAUL MASANJA NA MBELE YAO NI MGENI MAALUM MCHUNGAJI MLWAMBO TOKA KANISA LA MISUFINI WAKIGAUA GWARIDE LAPF


VIJANA WAKITOA HESHIMA KWA MGENI MAALUM


MGENI MAALUM AKIWA NA VIONGOZI WA KANISA LA KINONDONI WAKIRUDI MAHALA WALIPOKUWEPO MARA BAADA YA ZOEZI LA KUKAGUA GWARIDE

 

KWAYA YA KINONDONI WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI


Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA