Baada ya huduma kawaida za sabato asubuhi,na kupata chakula cha mchana,wasihriki kwa wageni walijumuika kwa pamoja katika kipindi cha uimbaji ambapo kikundi cha FAMILY MUSIC toka MZIZIMA SDA CHURCH ndio walikuwa waimbaji waalikwa na maalum siku hii ya leo..Pamoja na kwaya ya kanisa mtu mmoja mmoja walihudumu pia kwa njia ya nyimbo katika siku hii...
HEAVEN-GATES WAKIIMBA |
HEAVEN GATES WAKIWA STEJINI WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI KWANI NDIO WALIOFUNGUA KIPINDI HIKI CHA UIMBJI SIKU HII YA LEO..... |
WASHIRIKI WAKIWA MAKINI KATIKA KUFATILIA KINACHOJILI |
WASHIRIKI WAKIFATILIA KATIKA KIPINDI CHA UIMBAJI |
FAMILY MUSIC TOKA MZIZIMA SDA CHURCH WAKIIMBA |
FAMILY MUSIC NI KIKUNDI CHENYE WAIMBAJI WENGI TOKA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) NA WENGINE TOKA SEHEMU NA VYUO MBALIMBALI LEO WALIHUDUMU KATIKA KWAYA DAY KAMA WAGENI MAALUM....... |
WAKULIA NI LINNAH NA KUSHOTO NI MINNAH -WAIMBAJI WA FAMILY MUSIC |
KIKUNDI CHA KINGS' MELODY TOKA KIGAMBONI SDA CHURCH |
MWIMBAJI SAUTI YA NNE WA KIKUNDI CHA KINGS' MELODY |
WAIMBAJI WA SAUTI YA TATU,YA PILI NA KWANZA WAKITOA HUDUMA SIKU HII |
WAPARE GROUP TOKA HAPA KANISANI KIGAMBONI |



0 comments:
Post a Comment